.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 9 Novemba 2015

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA MUHIMBILI,AMJULIA HALI HELEN KIJO BISIMBA

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali jana.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika ajali jana.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo leo na kuwafariji wagonjwa.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.



Rais Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.

Rais Dkt.john Pombe Magufuli akiondoka katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi wananchi waliomweleza shida zao mbalimbali wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya taifa Muhimbili leo.

Rais Dkt.john Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa akina mama aliyelazwa na mtoto wake katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.( Picha na Freddy Maro)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni