Afisa
Maendeleo ya jamii Mkoa wa Mbeya Ndugu Stellah Kategile akiwasilisha
maada kwa wadau wa Sekta ya Afya Mkoani Mbeya katika kikao cha kujadili
juu ya kuelekea katika siku ya maadhimisho ya Ukimwi Duniani Tarehe 1
Desemba mwaka huu.
|
Mratibu
wa kudhibiti Ukimwi Mkoani Mbeya (RACC-Regional AIDS Control Coodinator
) Dkt Francis Philly akizungumza katika kikao hicho ambacho
kimehudhuriwa na wadau mbalimbali wa masuala ya afya mkoani katika
ukumbi wa Cofee Garden jijini Mbeya
|
Wadau wakiendelea na majadiliano katika mkutano huo.
|
Mwakilishi
wa Kampuni ya Mbeya Cement jijini Mbeya ambaye ni Mratibu wa Masulaa ya
Afya na Jamii Grace Nyatori akichangia katika mkutano hiuo ambao
unalenga kujadili na kupitisha bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya siku
ya Ukimwi Duniani .
|
Mhariri
wa habari kutoka Radio Ushindi jijini Mbeya Edom Mwasamya akizungumza
namna ambavyo vituo vya radio vitakavyo weza kuchangia kufanikisha zoezi
hilo la siku ya Ukimwi Duniani.
|
Festo Sikagonamo kushoto Mkuu wa shirika la Elimisha pamoja na Neema Stanton Afisa Mahusiano wa Mamlaka ya Maji safi na maji taka jijini hapa wakishirika katika mkutano huo.
|
Wadau wakiendelea na majadiliano.
|
Na Emanuel Madafa, Jamiimojablog Mbeya
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni