.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 24 Novemba 2015

WANAFUNZI WA UTURUKI NA BOSNIA WAFANYA ZIARA KATIKA KISIWA CHA TUMBATU NA KUKABIDHI MISAADA KWA WANANCHI WA KISIWA HICHO

Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Boti kuelekea katika kisiwa cha Tumbatu kwa ajili ya kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na wananchi mbalimbali katika ziara yao ya siku mbili ili kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Kisiwa cha Tumbatu kwa ajili ya kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na wananchi mbalimbali katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Kiongozi wa Wanafunzi Omar akimkabidhi Mzee wa kijiji cha Tumbatu Msaada wa Chakula katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakipata dua kwa Mzee wa Kisiwa cha Tumbatu na kutoa msaada wa chakula ikiwa pamoja na Mchele Unga wa ngano,Sukari na Mafuta ya kupikia katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa madrasa na walimu katika Kisiwa cha Tumbatu katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.Kwa hisani ya ZanziNews

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni