Mchezaji wa kimataifa wa Argentina, Carlos Teves mwishoni mwa wiki alijumuika na familia yake katika ufukwe wa Punta del Este nchini Uruguay.
Tevez ( 31 ) alikuwa na mkewe Vanesa pamoja na watoto wao watatu, Katia, Florencia na Lito, wote walionekana kufurahia huku wakicheza michezo mbalimbali ya ufukweni ikiwa ni pamoja na kuogelea.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni