Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya
Dar es Salaam, Suleiman Kova ametangaza anastaafu rasmi kulitumikia
jeshi la polisi siku ya leo.
Kamishna Kova amewataka wakazi wa
Dar es Salaam kumsaidia kumaliza salama kulitumikia jeshi la polisi,
kwa kusherehekea Sikukuu ya mwaka mpya kwa amani na utulivu hii leo.
Kamishan Kova amekuwa katika wadhifa
huo kwa miaka saba Jijini Dar es Salaam nafasi yake inachukuliwa na
Kamishna Mwandamizi (SACP) Simon Sirro.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni