.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Desemba 2015

LIGI KUU ENGLAND, ARSENAL YAICHAPA MANCHESTER CITY 2-1


Ulikuwa ni usiku mzuri kwa Theo Walcott aliyeifungia Arsenal bao la kuongoza katika dakika ya 33 ya mchezo na baadaye Olivier Giroud akaandika bao la pili katika dakika ya 45. Bao la Manchester City lilifungwa na Sergio Aguero
 Kwa matokeo hayo, Arsenal wamesimama katika nafasi ya pili wakiwa na ponti 36 .
                     Mbona sielewi!! Kocha wa Man City Pellegrini akilalama jambo
 Leo hamtoki bila kuumizwa!! Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akifurahia jambo





Hakuna maoni :

Chapisha Maoni