Luis Surez anaiongoza vyema
Barcelona ambapo hadi sasa inaongoza kwa mabao 3-0 yote akiwa
ameyapachika yeye kwa lugha ya kisoka ya kigeni inaitwa hat-trick
katika mchezo wao dhidi ya Guangzhou Evergrande.
Kwa mabao hayo ya Suarez huku zikiwa
zimebakia dakika chache Barcelona itakuwa imefanikiwa kutinga fainali
ya Kombe la Dunia la Vilabu, huku Lionel Messi akiukosa mchezo huo
kutokana na kuugua.
Luis Suarez akimtungua kipa wa Guangzhou Evergrande
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni