.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Desemba 2015

MWANAMUZIKI NGULI WA RAP LL COOL J KUSHEREHESHA TUZO ZA GRAMMY

Tuzo za Grammy za mwaka huu zitachagizwa na kuwapo kwa nyimbo nyingi mpya lakini zitakuwa na sura iliyozoeleka ya LL Cool J.

Waandaaji wa tuzo hizo za muziki wamemtangaza msanii wa rap ambaye ni muigizaji filamu, kuwa atakuwa mshereheshaji mkuu kwa mwaka wa tano mfululizo.

Tuzo hizo za Grammy zitarushwa hewani Februari 15 katika ukumbi wa Staples Center Jijini Los Angeles.
     Mwanamuziki Justin Bieeber ni miongoni mwa wanaowania tuzo za Grammy
              Mwanamuziki Taylor Swift naye yupo katika mchuano wa kuwania tuzo hizo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni