Mwanamuziki wa Marekani Janet
Jackson amesitisha ziara yake ya 'Unbreakable' hadi katika majira ya
kipupwe, ili aweze kufanyiwa upasuaji.
Janet Jackson amesema madaktari wake
wamesema anahitaji kufanyiwa upasuaji mapema, hata hivyo hakueleza
kuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani.
Janet , 49, amewaomba mashabiki wake
wamuombee yeye, familia yake pamoja na kampuni yake katika wakati
kipindi hiki kigumu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni