Ijumaa, 18 Desemba 2015
RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI KILICHOFANYIKA JANA ALHAMISI DESEMBA 17, 2015IKULU, DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi tarehe 17, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita. PICHA NA IKULU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni