Dr Edward Hosea
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ( TAKUKURU ), Dr Edward Hosea.
Nafasi yake itakaimiwa na Valentino Mlowoka.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni