Rapa 50 Cent amemshtaki Rick Ross
kwa madai ya kuchukua sehemu ya wimbo wake wa 'In Da Club' na
kuuchanganya kwenye albamu yake mpya ya 'Black Market'.
50 Cent, ambaye jina lake halisi ni
Curtis Jackson, amedai kuwa Ross amevunja sheria kwa kutumia wimbo
wake kujitangaza bila ya ruhusa yake.
Ross amerap 'In Da Club' katika mixtape ya 'Renzel Remixes,' ambayo anaitumia
kuitangaza albamu yake mpya. 50 Cent ameamua kudai dola milioni 2 kama
fidia.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni