Idadi watu wapatao 100 wanahofiwa
kufa katika tukio la mlipuko uliotokea kwenye mtambo wa gasi kwenye
kiwanda kusini-mashariki mwa Nigeria.
Imeelezwa kuwa Lori moja lililipuka
wakati likishusha gesi ya kupikia majumbani aina ya butane katika mji
wa Nnewi kwenye jimbo la Anambra.
Polisi wa eneo hilo wamethibitisha
kutokea kwa tukio hilo lakini hawakutoa taarifa zaidi za tukio hilo
ambalo mlipuko huo ulifuatiwa na moto mkubwa uliodumu kwa saa tano.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni