.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Desemba 2015

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR MH. DK. SHEIN KISIWANI TUMBATU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Tumbatu pamoja na Viongozi mbali mbali wakati alipofika Bandari ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo wakati alipokuwa akiangalia ramani ya Ujenzi wa Bandari ya Tumnbatu kutoka waMhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk wa Shirika la Bandari Zanzibar wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya miradi ya maendeleo katika kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi wa Tumbatu Jimbo la Tumbatu waliofika katika mapokezi wakati alipofika Bandari ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua mfereji wa maji kuangalia upatikanaji wa Maji Safi na Salama alipofanya ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Wilaya Ndogo ya Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 

Wananchi na Wanachama wa CCM Jimbo la Tumbatu wakimsikilizaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia mara alipofika kijiji cha Tumbatu Kichangani kuangalia maendeleo ya miradi ya Maendeleo katika kijiji hicho leo ikiwemo ujenzi wa Bandari na Maji Safi na Salama iliyofanikisha kwa nguvu za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa shukurani zake kwa Wananchi wa Tumbatu Jimbo la Tumbatu waliofika katika mapokezi wakati alipofika Kijiji cha Tumbatu Kichangani Wilaya Ndigo Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo ya Kisiwa hicho leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Wananchi pia Wanafunzi wa madrasa wakisoma Qaswida wakati walipomshindikiza akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo ya Miradi ya maendeleo ya Kijiji cha Kichangani Wilaya Ndogo Tumbatu leo ikiwemo Ujenzi wa Bandari na Maji Safi na Salama,[Picha na Ikulu]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni