.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 17 Januari 2016

ANGELINA JOLIE AAMBATANA NA WATOTO WAKE UZINDUZI WA KUNG FU PANDA 3

Mugizaji nyota wa filamu Angelina Jolie ameambatana na watoto wake watano katika kuangalia kwa mara ya kwanza uzinduzi wa filamu yake ya vikatuni ya Kung Fu Panda 3, huko Hollywood siku ya jana.

Jolie alionekana kushindwa kudhibiti tabasamu lake wakati akiwaongoza watoto wake hao Pax miaka 12, Zahara miaka 11, Shiloh miaka 9, mapacha Vivienne na Knox Jolie-Pitt wenye miaka 7 katika zulia jekundu.
                       Mama wa familia Angelina Jolie akiwa na watoto wake watano

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni