.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Januari 2016

BI ASHA BAKARI AZIKWA.

Viongozi mbali mbali wakishiriki mazishi ya marehemu Bi. Asha Bakari Makame yaliyofanyika leo asubuhi katika makaburi ya Kianga Wilaya ya Magharibi Unguja. Miongoni mwa viongozi hao ni pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Pili Balozi Seif Ali Iddi, Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohd Gharib Bilal na Spika wa BLW Mhe. Pandu Ameir Kificho. (Picha na Salmin Said, OMKR)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni