Alhamisi, 14 Januari 2016
DK. SHEIN AMUAPISHA MKUU WA WILAYA YA WETE
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Bw. Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo kabla ya uteuzi huo Mkuu huyo alikuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu]
Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Bw. Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo kabla ya uteuzi huo Mkuu huyo alikuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu]
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipokuwa akisalimiana na kumpongeza Bw. Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo baada ua kuapushwa katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo kabla ya uteuzi huo Mkuu huyo alikuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kabla ya uteuzi huo Mkuu huyo alikuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu]
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni