Dkt Abdallah Ghaylaan Mwakilishi wa taasisi ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur-an wa Saudia akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mh Samia Suluhu Hassan Tunzo ya kutambua mchango wake katika Malezi wakati wa Hafla ya kuwapongeza Vijana wa jumuia ya Kuhifadhi Qur-an Tanzania waliohitimu katika Vyuo Vikuu mbali mbali jana tarehe 28/01/2016 kwenye hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti mwanafunzi Aziza Juma wakati wa hafla ya kuwapongeza Vijana wa Jumuia ya kuhifadhi Qur an yalifonyika katika Hotel ya Hyatt Regency, jijini Da es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan akimkabidhi cheti Hamza Lusanga wakati wa hafla ya kuwapongeza Vijana wa jumuia ya Kuhifadhi Qur –an yaliyofanyika kwenye Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam jana tarehe 28/01/2016.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni