.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 22 Januari 2016

MH. MAJALIWA AONGOZA MKUTANO WA WABUNGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkutano wa Wabunge, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kufungua mkutano huo bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, buneni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilillah.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wabunge, Jenista Mhagama wa Peramiho (kushoto) na January Makamba wakiteta katika mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akitoa mada katika mkutano w wabunge , bungeni mjini Dodoma Januari 22, 20167. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga mjini Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari wakati aaliposalimiana naye kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni