.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 14 Januari 2016

MISA YA KUMBUKUMBU YA MPENDWA MAMA YETU LETICIA NYERERE KUFANYIKA JUMAMOSI ST EDWARD, BALTIMORE


                                                                     Leticia Nyerere enzi ya uhai wake

Familia ya Nyerere inependa kuwataarifu, kuwakaribisha na hatimae kujumuika nao katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa mama yao Leticia Nyerere itakayofanyika siku ya Jumamosi Januari 16, 2016 saa 6 kamili mchana (12 pm sharp) katika kanisa la Mtakatifu Edward lililopo Baltimore, Maryland kwenye anuani ifuatayo hapo chini.

                                                  901 Poplar Grove Street, Baltimore, MD 21216

Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.Kwa maelezo na maelekezo zaidi tafadhali wasiliana na:

Margareth Mageni 240 462 9138

Emmanuel Muganda 240 447 2801

Ramadhani Kamguna 202 459 3839

                                          Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni