.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 26 Januari 2016

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MH. AMOS MAKALLA AFANYA ZIARA WILAYA YA SAME NA KUZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA KARAMBA

Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla amefanya ziara wilaya ya same kwa kuzindua madarasa manne yenye madawati Shule ya msingi Jitengeni(kata ya Kihurio), kuzindua mradi wa Maji kijiji Karamba, kuweka jiwe la msingi jengo la upasuaji Kituo cha Afya Hedaru na kuzindua Maabara Tatu sekondari ya Makanya.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akifungua bomba la maji safi na salama kama ishara ya uzinduzi rasmi katika Maji kijiji Karamba wakati wa ziara hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa kijiji Karamba mara baada ya kuzindua mradi huo wa maji.
Mh. Amos Makalla (kushoto), akijiandaa kupanda mti wakati alipofanya ziara katika kijiji Karamba.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akifurahia mara baada ya kuzindua madarasa manne yenye madawati Shule ya msingi Jitengeni(kata ya Kihurio)
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makall akiweka jiwe la msingi jengo la upasuaji Kituo cha Afya Hedaru.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akiwa katika moja ya maabara mara baada ya kuzindua.
Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla akizungumza na wananchi wa katika kijiji Karamba.
Wananchi mbalimbali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla alipokuwa akizungumzanao wakati wa ziara yake.
Wanafunzi wakimsikiliza kwa umakini, Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mh. Amos Makalla.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni