Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni (kulia) akiwasalimia wananchi wanaosubiri kupata huduma ya Hati za Kusafiria katika Ofisi za Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake kwa Viongozi Wakuu wa Idara hiyo, Naibu Waziri Masauni aliiagiza Idara hiyo kuchunguza Makapuni yanayotoa ajira kwa wageni ambapo ajira hizo wangepewa Watanzania wenye sifa na kupunguza tatizo la ajira nchini. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni (wanne kushoto), Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile (wanne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji. Naibu Waziri Masauni alifanya ziara ya kikazi katika idara hiyo kwa lengo la kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na idara hiyo. Hata hivyo, katika hotuba yake, aliiagiza idara hiyo kuchunguza Makapuni yanayotoa ajira kwa wageni ambapo ajira hizo wangepewa Watanzania wenye sifa na kupunguza tatizo la ajira nchini . Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni