Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akisalimiana na Naibu Kamishna wa uhamiaji Haji Hamza wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Uhamiaji Zanzibar zilizopo katika eneo la Kilimanim, kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu.
Naibu wAZiri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni akisikiliza maelezo ya hatua za maombi ya hati za kusariria kutoka kwa afisa wa udhibiti wa hati za kusafiria katika ofisi za Uhamiaji Zanzibar alipofanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kujione shughuli mbalimbali za kiutendaji
(IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO MAMBO YA NDANI YA NCHI)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni