.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 13 Januari 2016

PICHA MBALIMBALI ZA HOTUBA YA MWISHO YA OBAMA KWA TAIFA AKIWA RAIS

Rais Barack Obama akihutubia taifa kwenye Baraza la Congress katika hotuba yake ya mwisho akiwa madarakani kama rais.
             Wawakilishi wa Baraza la Congress wakimsikiliza kwa umakini rais Barack Obama
   Mke wa rais Michelle Obama akiwapungia mkono wa kuwaaga wawakilishi wa baraza la Congress
  Rais Barack Obama akifurahia jambo huku akiwa amezingirwa na wawakilishi wa baraza la Congress baada ya kutoa hotuba

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni