Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Baba wa Taifa Msasani wakati alipokwenda kuhani msiba wa mwanafamilia Marehemu Leticia Nyerere aliyefaiki huko Marekani hivi karibuni.
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji Mama Maria Nyerere nyumbani kwa Baba wa Taifa Msasani wakati alipokwenda kuhani msiba wa mwanafamilia Marehemu Leticia Nyerere aliyefaiki huko Marekani hivi karibuni.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni