Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaskofu Zanzibar Askofu Dikson Kaganga akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika Ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamaduni Utalii na Michezo kukanusha kuhusika kwao na barua ya Maalim Seif Sharif Hamad aliyomuandikia Papa Francis.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaskofu Zanzibar Askofu Dickson Kaganga katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mnazimmoja.
Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu Zanzibar Askofu Agostino Shao akijibu maswali ya waandishi wa Habari kwenye mkutano wa kupinga kuhusika kwao na Barua ya Maalim Seif Sharif Hamad aliyompelekea Papa Fransis. (kushoto) ni Askofu Shayo na (kulia) ni Askofu Dickson Kaganga.PICHA NA ABDALLA OMAR – HABARI MAELEZO ZANZIBAR
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni