Mwakilishi kutoka Kampuni inayosambaza ving’amuzi vya TING, Anitha Chawe (kushoto), akimkabidhi zawadi mshindi wa kig'amuzi, Happyness Haule (katikati) na Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda (kulia) akimkabidhi TV leo katika ofisi za Global Publishers, Bamaga Mwenge jijini Dar.
Mwantanga Ally akihojiwa na wanahabari.
Washindi wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba wakiwa katika picha ya pamoja. (PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)
Washindi wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba wakiwa katika picha ya pamoja. (PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)
BAADA ya wasomaji kadhaa nchini kujinyakulia zawadi kwenye droo ya kwanza ya Shindano la Shinda Nyumba linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers iliyofanyika Januari 7, mwaka huu katika Viwanja vya Mbagala Zakhem leo wamekabidhiwa zawadi zao katika Ofisi za Global Publishers, Bamaga Mwenge jijini Dar.










Hakuna maoni :
Chapisha Maoni