.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 20 Januari 2016

WATU WENYE SILAHA WAUWA WATU 19 KWENYE CHUO NCHINI PAKISTANI

Watu wenye silaha wameshambulia Chuo Kikuu kilichopo mji Charsadda kaskazini magharibi mwa Pakistani na kuuwa watu 19 na wengine 50 kujeruhiwa.

Watu wanne wanaoshukiwa kuwa ni washambuliaji wameuwawa katika mapambano ya silaha yaliyodumu kwa muda wa saa tatu kwenye Chuo hicho Kikuu cha Bacha Khan katika mji Charsadda.

Kumekuwepo na taarifa zinazochanganya iwapo wapiganaji wa Kitaliban nchini Pakistan wamehusika katika kufanya shambulizi hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni