.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 21 Januari 2016

WAZIRI MKUU MH. MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA TAMISEMI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mjini Dodoma Januari 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) mjini Dodoma Januari 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Georoge Simbachawene akizungungumza kabla ya kukaribisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuzungumza na Wafanyakazi wa TAMISEMI mjini Dodoma Januari 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza nao Ofisini kwake Mjini Dodoma Januari 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipokea zawadi ya kikombe kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene ikiwa ni ishara ya Ofisi hiyo kutambua mchango wake wa kuendeleza michezo wakati akiwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo . Mheshimiwa Majaliwa alizungumza na watumishi wa TAMISEMI mjini Dodoma Januari 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI , George Simbachawene baada ya kuzungumza na Watumishi wa Ofisi hiyo mjini Dodoma Januari 21, 2016. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Benard Makali na wapili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliudi Sanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Benard Makali baada ya kuzungumza na Watumishi wa Ofisi hiyo mjini Dodoma Januari 21, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI , George Simbachawene na katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Eliudi Sanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa wa TAMISEMI baada ya kuzungumza nao mjini Dodoma Januari 21, 2016.Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Benard Makali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni