Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic
ameipatia Paris St-Germain ushindi wa dakika za mwisho na kuifanya
iongoze Ligi Kuu ya Ufaransa kwa pointi 23 baada ya kuichapa Toulouse
bao moja kwa bila.
Raia huyo wa Sweden amefikisha mabao
24 katika msimu huu baada ya David Luiz kupiga mpira wa kona dakika
17 kabla ya kumalizika kwa mechi.
Zlatan Ibrahimovic akifunga bao pekee kwa PSG


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni