.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 9 Februari 2016

BEKI WA CHELSEA KURT ZOUMA KUWA NJE YA DIMBA KWA MIEZI SITA

Beki wa Chelsea Kurt Zouma atakuwa nje ya uwanja kwa miezi sita kutokana na kuhitaji kufanyiwa upasuaji kwenye goti baada ya kupata jeraha jumapili.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, alianguka vibaya baada ya kuwania mpira wa juu alitolewa akiwa amebebwa kwenye machela katika mchezo wao na Manchester United.

Vipimo vya scan vilivyofanywa leo vimeonyesha kuumia kwa mishipa ya ligament, ambapo atafanyiwa upasuaji wiki hii.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni