| Bondia Fransic Cheka 'katikati' akiwa katika picha ya pozi na meneja wake, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security Limited baada ya kuzunumzia mpambano wake na Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27 kushoto ni meneja msaidizi Nassoro Said 'mzee wa mbele Picha na SUPER D BOXING NEWS |
| Msanii wa bendi ya muziki wa dansi African Stars 'twanga pepeta' Luiza Mbutu kulia akizungumza na waandisho wa habari awapo pichani wakati wakitangaza mpambano wa bondia Fransic Cheka na Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27 katikati ni msanii Ally Choki na kushoto ni promta Jay Msangi Picha na SUPER D BOXING NEWS |
mpambano wa Cheka na Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27 Bondia Fransic Cheka kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya mpambano wake na Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27 katikati ni meneja wake Mkurugenzi wa Advance Security, Juma Ndambile na promota Jay Msangi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni