.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 22 Februari 2016

DEREVA TEKSI ASHIKILIWA MAREKANI KWA MAUAJI YA WATU SITA

Dereva wa teksi anashikiliwa kwa kuhusika na vifo vya watu sita katika tukio la mashambulizi ya risasi kwenye mji wa Kalamazoo uliopo Michigan nchini Marekani.

Dereva huyo Jason Brian Dalton, 45, alikamatwa baada ya kushambulia maeneo matatu siku Jumamosi usiku.

Imethibitishwa kuwa Bw. Dalton alikuwa ni dereva wa teksi wa kampuni ya teksi inayosuasua ya Uber.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni