.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 26 Februari 2016

LIVERPOOL YAPANGWA NA MANCHESTER UNITED LIGI YA UROPA

Timu ya Liverpool imepangiwa na mahasimu wao wa Uingereza Manchester United katika michuano ya Uropa hatua ya 16 bora.

Timu hizo zote zikiwa hazipo katika nafasi ya nne ya bora katika Ligi Kuu ya Uingereza, zitawania kushinda taji hilo, ili zipate fursa ya kutinga Ligi ya Mabingwa Ulaya mwakani.

Timu hizo mbili zitakutana mara mbili ndani ya siku saba, mechi ya kwanza ikiwa katika dimba la Anfield Machi 10 na wa marudio Old Trafford on Machi 17.

Droo nyingine ni Shakhtar Donetsk v Anderlecht, Basel v Sevilla, Villarreal v Bayer Leverkusen, Athletic Bilbao v Valencia, Sparta Prague v Lazio, Borussia Dortmund v Tottenham na Fenerbahce v Braga

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni