.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 26 Februari 2016

MABONDIA KUTWANGANA KESHO LEADERS CLUB KESHO NI CHEKA NA AJETOVIC

Bondia Lulu Kayage kushoto akinuliwa juu mkono na Promota Jay Msangi baada ya kupima uzito wakati mpinzani wake Mwanne Haji akiinuliwa mkono na Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security Limited ambaye ni mlatibu wa mpambano uho kulia kabisa ni Rashid Nassoro 'Mzee wa Mbele' mdau wa mchezo wa ngumi picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Lulu Kayage akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji kesho jumamosi ya feb 27 kulia ni Emanuel Mlundwa picha na SUPER D BOXING NEWS

Luilu Kayage

Bondia Mwanne Haji akipima uzito kwa ajili ya mpambano weake na Lulu Kayage kulia picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Lulu Kayage kushoto akitunishiana misuli na Mwanne Haji baada ya kupima uzito kwa ajili a mpambano wao kesho katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Fransic Cheka kulia akitunishiana misuli na Mserbia Geard Ajetov baada ya kumia uzito kwa ajili ya mpambano wao kulia ni mdau wa mchezo wa ngumi Nassoro Rashidi na
meneja wake cheka, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Securit
picha na SUPER D BOXING NEWS



Mabondia Fransic Cheka kulia akitunishiana misuli na Mserbia Geard Ajetov baada ya kumia uzito kwa ajili ya mpambano wao kulia ni mdau wa mchezo wa ngumi Nassoro Rashidi na
meneja wake cheka, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Securit
picha na SUPER D BOXING NEWS

CHEKA AKIPIMA UZITO
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni