Mchuano wa wagombea wa Republican na Democratic wa kuwania
kuteuliwa kugombea urais wa Marekani unaingia katika raundi ya tatu.
Vituo vya kupigia kura vimeshafunguliwa katika kura za maoni
huko South Carolina, ambapo muwania urais anayeongoza kwa Republican
Donald Trump akijaribu kumuacha mbali Ted Cruz.
Naye Bi. Hillary Clinton na Bernie Sanders watakabiliana katika
mchuano wa karibu wa wawania urais wa chama cha Democratic huko
Nevada.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni