Rais Barack Obama anajiandaa
kutembelea nchi ya jirani na Marekani ya Cuba mapema mwezi ujao na
kuwa rais wa kwanza wa Marekani kuitembelea nchi hiyo tangu kupita
miaka 90 ya uhasama wa Kidiplomasia.
Rais Obama alisema Desemba
atafirikia kuitembelea Cuba ikiwa ni sehemu ya kufungua milango baina
ya mataifa hayo na kujenga uhusiano wa kidiplomasia ili kupanua
ushirikiano wa kibiashara.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni