.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 10 Februari 2016

UJUE MTUNGI WA FAYA ULIOJAZWA NA ULIOTUPU/AMBAO GESI IMEKWISHA


                                                                                    Mtungi uliojaa kwa kuzima Moto.

Mtungi uliotupu kwa maana ya kwamba mshale wake umerudi kushoto kama  unao kwenye gari lako,ofisini au nyumbani ujue hilo ni kopo tu hautakusaidia chochote kuzima moto. Sana sana utautumia kuwadanganya askari na wakaguzi wasiojua tu. Kwa ufupi  unajidanganywa wewe mwenyewe.

Mtungi ulioactive kwaajili ya kuzima  moto mshale wake utakuwa kwenye green (kijani). Ikiwa mshale utakuwa  kulia mwa alama ya kijani mtungi huu umejazwa kupita kiasi na ni hatari.Imeandaliwa na RSA na Dj Sek Blog

Huu ni mtungi ambao hauna ujazo wowote na hauwezi kuzima moto kwa namna yoyote ile.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni