.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 26 Februari 2016

WAHAMIAJI WAWILI WAJINYONGA KATIKA KUKERWA NA KUZUIWA KUINGIA ULAYA

Wahamiaji wawili wenye kuhaha kuingia Ulaya wamejinyonga katika eneo la kupumzikia la Jijini Athens wakati Ugiriki ikisema haitokuwa sehemu ya kurundika wahamiaji.

Hata hivyo wahamiaji hao wote wanaume waliwahiwa kuokolewa kabla ya kukata roho na mmoja wao ambaye alikuwa mahututi, alikimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.
                                    Mhamiaji mmoja aliyepoteza fahamu akiwa hajitambui 
Watoa msaada wakiwa wanamnyanyua kumuweka kweye machela mhamiaji aliyepoteza fahamu baada ya kujimyonga

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni