.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 8 Februari 2016

ZAIDI YA KAYA 60 KIWALALA NA MJIMWEMA ZIMEATHIRIKA NA MAFURIKO

Lindiyetu.com ilifika katika Maeneo Jirani na kijiji Cha Mjimwema jirani na Kitongoji wanachoishi wafugaji na Kushuhudia zoezi la Uokoaji Likiendelea na Ilifanikiwa Kuongea na Baadhi ya waliookolewa ambapo walieleza Jinsi walivyokutwa na Maafa hayo.Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Lindi Bi Oliva Vavunge akiongea na Lindiyetu.com wakati zoezi la Uokoaji likiendelea amewataka wananchi wote wanaoishi sehemu za mabondeni kuhama maramoja kwani Mvua hizo bado zinaendelea kunyesha kama ilivyotangazwa na mamlaka ya hali ya hewa nchini.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni