Watu wapatao 10 wamekufa na wengine
kadhaa kujeruhiwa baada ya barabara ya juu iliyokuwa ikitengenezwa
kuanguka mashariki mwa mji wa Kolkata nchini India.
Taarifa zinaeleza kuwa watu zaidi ya
150 inawezekana wamekwama kwenye kifusi cha zege na nondo, ambazo
ziliangukia barabara ya chini iliyo na shughuli nyingi.
Hali inavyoonekana kwa chini baada ya barabara hiyo ya juu kuanguka
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni