.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Machi 2016

BENKI YA KILIMO YAJIDHATITI KUSAIDIA UPATIKANAJI WA MASOKO NCHINI

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo Bw. Robert Pascal wakifuatilia mada wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Robert Pascal (Kulia) akiwasilisha Mada kuhusu Wajibu wa TADB katika kuendeleza kilimo nchini wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha (Kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Wapili kulia) wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Tanzania, Bibi Janet Bitegeko ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha (Kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania, Dkt. Sinare Yusuf Sinare (Kushoto) na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Wapili Kushoto) wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania, Dkt. Sinare Yusuf Sinare (Wapili kushoto) akizungumza na Balozi wa Norway nchini, Mhe. Hanne-Marie Kaarstad (Kushoto) wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. Wanaomsikiliza ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha (Kulia), Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Wapili kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu-SAGCOT, Bw. Geoffrey Kirenga.
Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Soni (Kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Robert Pascal (Katikati) wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mmoja wa wadau waliohudhuria warsha hiyo.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo, na Uvuvi, Mhe. William Ole Nasha (Kulia) akiagana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania, Dkt. Sinare Yusuf Sinare (Kushoto) mara baada ya kufungua Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Wapili Kushoto) akizungumza na Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Soni (Kulia) wakati alipotembelea Meza ya TADB wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania, Dkt. Sinare Yusuf Sinare (Wapili kulia) na Afisa Maendeleo ya Biashara Mwandamizi wa TADB, Bw. George Nyamrunda.
Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Saidi Mkabakuli akitoa maelezo ya kuhusu TADB kwa mmoja wa wadau waliotembela Meza ya TADB wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Soni (Kulia) akioneshwa moja ya bidhaa zilizokuwa zikioneshwa katika Meza ya TADB wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam. Anayemuonyesha ni Afisa Maendeleo ya Biashara Mwandamizi wa TADB, Bw. George Nyamrunda. Habari na picha na: Bw. Saidi Mkabakuli

Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni