Makumi ya wakinamama na watoto ni miongoni mwa watu 65
waliouwawa na bomu la kujitoa mhanga lililowalenga wakristo waliokuwa
wakisherehekea Pasaka nchini Pakistani.
Watu wengine wapatao 300 wamejeruhi katika
shambulizi hilo kati kati ya mji wa Lahore, ambalo hadi sasa hakuna
kundi lolote la kigaidi lililokiri kuhusika na shambulizi hilo.
Maafisa wa uokoaji wakibeba mwili wa mtu aliyepoteza maisha katika mlipuko huo
Watu wakitoa msaada kwa mwenzao aliyejeruhiwa kwa bomu
Vilio vilitawala katika eneo la mlipuko kama inavyoonekana hapa
Wakinababa nao walishindwa kuzuia machozi yao na kujikuta wakilia baada ya tukio hilo la mlipuko wa bomu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni