.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Machi 2016

JEANS ILIYOCHANWACHANWA NI FASHENI AMA UKICHAA ?


Hivi karibuni mtindo wa uvaaji wa jeans zilizochanwa umepata umaarufu katika nchi za Afrika Mashariki katika kile vijana wanadai kwenda na mitindo ya wakati.

Uvaaji wa jeans hizo ambazo watengenezaji huzichanachana na kuonekana kama zilizochakaa, umekuwa kivutio kwa vijana wengi huku wakiacha sehemu zao za mwili zikiwa wazi.
                       Kijana akiwa amevaa jeans iliyochanika utadhani imeliwa na panya

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni