Bondia Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
MABONDIA PIUS KAZAULA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA MPINZANI WAKE SEBA TEMBA |
REFARII WA MPAMBANO WA MASUMBWI SAID CHAKU AKIWAINUA MIKONO JUU MAONDIA PIUS KAZAULA KUSHOTO NA SEBA TEMBA BAADA YA MPAMBANO WAO KUMALIZIKA KWA DROO Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia mohamed Matumla kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa taifa mpambano uho ulisha kwa droo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Picha na SUPER D BOXING NEWS Mabondia Nassibu Ramadhani kushoto akionyeshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Miyeyusho wakati wa mpambano wao wa raundi nane uliofanyika katika uwanja wa ndani wa taifa siku ya jumapili ya psaka mpambano uho ulisha kwa maamuzi ya droo Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Fransic Miyeyusho kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Nassibu Ramadhani wakati wa mpambano waouliofanyika uwanja wea ndani wa taifa Dar es salaam mpambano uho ulishaa kwa Droo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Pus Kazaula kushoto akimrushia kunde la mkono wa kushoto mpinzani wake Seba Temba wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili ya pasaka katika uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam mpambano uho walitoka droo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Na Mwandishi Wetu
MASHABIKI wapata burudani mashabiki waliofika uwanja wa ndani wa taifa kulikokuwa kunafanyika mchezo wa masumbwi wametoka na furaha tele baada ya kushudia mapambano waliyokuwa wakiyasubili kwa hamu kubwa hapa nchini
Akizungumza baada ya kumalizika mpambano uho mratibu wa mapambano hayo Rajabu Mhamili 'Super D' amesema mashabiki wamefuraia mapambano ambayo karibia yote yalimalizika kwa droo
Akitaja matokeo ya mapambano hayo amesema bondia Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' alimsambaratisha bondia Mada Maugo kwa T.K.O ya raundi ya tatu wakati Mohamedi Matumla na Cosmas Cheka waritoka droo
wakati Pius Kazaula alitoa Droo na Seba Temba
Mpambano mwingine mkali uliokuwa ukisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa ngumi nchini kati ya bondia Nassibu Ramadhani na Fransci Miyeyusho nawo pia umemalizika kwa sale
Wakati huo huo mabondia Mfaume Mfaume na Ramadhani Shauri wanatarajia kusaini mkataba wa kuzipiga siku y mei mosi katika uwanja uho uho wa taifa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni