.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 21 Machi 2016

MASHINDANO YA MAKAMPUNI YALIYOANDALIWA NA KAMPUNI YA POPULAR SPORTS AND ENTERTAINMENT TANZANIA LTD UWANJA WA DUCE CHANGOMBE JIJINI DAR ES SALAAM YAFANA

Mchezaji Frank Peter wa Banc ABC (kulia), akijitahidi kumtoka Kambili John wa Ramada katika mashindano ya makampuni yaliyofanyika Uwanja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE), Chang’ombe jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya Popular Sports and Entertainment Tanzania Ltd.
                                                                                        Hapa ni kazi tu uwanjani.
 Kikosi kamili cha Timu ya Ramada.
                                                                           Kikosi cha Ramada kikiomba dua.

                                                                                                 Kikosi cha Banc ABC
 Kikosi cha Uhai FC
                                                                                                      Kikosi cha AAR
 Mtanange ukiendelea.
 Hapa mchezaji wa Banc ABC, Nicholaus Mwakijega akiwatoka wachezaji wa Ramada. Kushoto Omari Juma na kulia ni Abdul.
 Ramada wakitoka uwanjani kifua mbele baada ya kuwashinda Banc ABC bao 1-0
                                                                                    Hapa kiatu kiatu uwanjani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni