.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 10 Machi 2016

MWANAMKE MATATANI KWA KUMUIBA MTOTO NCHINI AFRIKA KUSINI

Mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini ametiwa hatiani kwa kumuiba mtoto wa siku tatu mnamo mwaka 1997.

Mwanamke huyo anatuhumiwa na polisi kwa kumuiba mtoto huyo hospitalini Jijini Cape Town na kujifanya kuwa ni mama yake mzazi.

Mwanamke huyo mwenye miaka 51, alikamatwa mwaka jana baada ya kubainika kuwa kunawatoto wawili wanaofanana katika shule moja na ndipo vipimo vilipofanywa wakabainika kuwa ni ndugu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni