.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatano, 9 Machi 2016
MWANARIADHA WA TANZANIA ALPHONCE FELIX AREJEA NCHINI BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA TATU KATIKA MASHINDANO YA LAKE BIWA MARATHONI YA NCHINI JAPAN.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akirejea nchini akitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:O9:19
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix (katikati) akiwa na kocha wa timu ya taifa ya riadha Francis John waliporejea nchini wakitokea nchini Japan kushiriki mashindano ya marathoni yajulikanayo kama Lake Biwa ambapo alifanikiwa kushika nafasi ya tatu.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Felix akimkabidhi rais wa shirikisho la riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka ngao ya ushindi wa nafasi ya tatu aliyopata katika mashindano ya Lake Biwa Marathon yaliyofanyika nchini Japan.
Wanariadha wa timu ya taifa ya riadha wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa tatu wa mbio za marathoni za Lake Biwa .Alphonce Felix.
Wanariadha wa timu ya taifa ya riadha wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa shirikisho la Riadha Tanzania ,Anthony Mtaka pamoja na mshindi wa tatu wa mbio za marathoni za Lake Biwa .Alphonce Felix.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni