Papa Francis amewashutumu wale wote
wanaoshindwa kuwasaidia wahamiaji, wakati wa hotuba yake ya kawaida
kila Pasaka Jijini Roma.
Amesema wahamiaji wamekuwa
wakikataliwa na watu ambao walipaswa kuwakaribisha na kuwasaidia.
Papa Francis pia ameshutumu vitendo
vya kigaidi kuwa ni ukatili, unaopaswa kupigana nao kwa kutumia
silaha ya upendo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni