.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 14 Machi 2016

PICHA ZA TUKIO LA SHAMBULIZI LA JIJINI ANKARA NCHINI UTURUKI

Waokoaji wakiwa wamembeba mtu aliyejeruhiwa katika shambulizi la kwenye kituo cha mabasi Jijini Ankara na kuuwa watu 34
                      Hali ilikuwa ni ya kutisha namna hii, ambapo watu 125 walijeruhiwa
        Athari zilizoachwa baada ya gari lenye bomu la kujitoa mhanga kulipuka 
             Mmoja wa manusura akionyesha hasira zake baada ya kutokea tukio hilo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni